Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Wakuu naomba mnisaidie chuo chochote cha serikali cha kumpokea huyu mjomba wangu maake baada ya kufeli kidato cha sita amechanganyikiwa sasa anataka kusomea umedecine kwa kutumia cheti cha Form IV sasa nisaidie wapi naweza pata chuo cha serikali kutimiza ndoto yake ..tafadhalini maake kachanganyikiwa na A-Level alikuwa akisomea PCM
Asanteni
Asanteni