Baada ya kufeli formu six mjomba wangu anataka asomee medicine kwa O-Level Certificate

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,912
Wakuu naomba mnisaidie chuo chochote cha serikali cha kumpokea huyu mjomba wangu maake baada ya kufeli kidato cha sita amechanganyikiwa sasa anataka kusomea umedecine kwa kutumia cheti cha Form IV sasa nisaidie wapi naweza pata chuo cha serikali kutimiza ndoto yake ..tafadhalini maake kachanganyikiwa na A-Level alikuwa akisomea PCM

Asanteni
 
akasome tu clinical officer then akimaliza akafanya kazi kidogo au two years anaweza akaaply MD,mwambie asikate tamaa,there is always a solution,
 
vyuo vya serikali hebu jaribu kuingia kwenye website ya wizara ya afya
 
Itabidi aanzie ngazi ya cheti kwa diploma haiwezekani sababu wanataka watu wenye principals za pcb form six
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…