Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Dr Shika inawezekana haya yote aloyafanya ya kwenda kwenye mnada wa nyumba mpaka kufikia hapa watanzania na serikali kuwa na taarifa zote hizi Dr Shika ametumia akili yake ya KIJASUSI apate publicity ili aweze kupata msaada wa Serikali ili aweze kupata Fedha zake. So hizi zote ni setups ambazo zimekuwa well planned. GOOD JOB DR Mission Impossible Shika Louis
 
 
Aisee, maneno mengi yanaungana na ukweli, ila in reality unawezaje kuwatoroka KGB kindezi ndezi kama alivyosema yeye?
It is possible. Watu wanatoroka under CIA na mashirika ya upelelezi sembuse KGB. Ukisoma story ya shika utagundua kulikuwa na connection wa wamarekani na yeye japo haiko wazi. Nadhan ndio waliomsaidia kutoroka
 
kama vile ni agent wa CIA nikiunganisha dots

maana tuliambiwa/kuna uzi ulisema ubalozi wa tanzania ulimtelekeza lakini ubalozi wa marekani ulimtembelea akiwa hospitali kama sijakosea
Yes
 
Hii habari inahitaji update zamra kwa mara ili tuone namna tunavyopata hela za mtanzania mwenzetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…