Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Dr.shika kinachomfanya mpaka leo asipewe pesa zake ni ushamba wake wa kisukuma
HANA pesa ile ni Drama, wewe mtu hata shati tu huna, anashindwaje kumfuata Kolomije akamuunganisha wakawa juu kwa juu, hukko kwao> wenzake waliagiza madawati na vimeza kwa Makonteina yeye anashindwaje kuishi kimjinimjini,
mwenye simu yake anirushie nimshtue ajipeleke wa DPP utakatishaji wala sio mnada
 
Ndio maana ana uhakika wa kununua ile mijengo,kumbe hela iko kwenye process!atapata hela yake,wamarekani wakisha kutumia kwenye mission kubwa kama hiyo lazima wakuwezeshe...
Kabisa
 
Nakukubari sana @@britanicca
 


Hiyo michuzi ya Dr haijafika bado?
 
Nahisi Watoto zake wa kirusi watakua wamerithishwa kila kitu.
 
Wamarekani watu wabaya sana wanakutumia alafu wanakuacha kwenye ufukara mkubwa, apo kila kitu ni utata lazima uchanganyikiwe,

watoto umepoteza, pesa umepoteza, elimu yako haina maana tena si serikali ya nchi yako wala shirika litakupa ajira.

Ata US wenyewe hawatakutaka tena maana ushajulikana.
Hawa wapuuzi scholarship na Ajira zao sio za kukimbilia kabisa.
 
Marekan watakujali pale ukiwa na faida nao tu na wakikutumia Kama spy wao siku wakiona hawakuhitaj tena wanaweza hata kukuuwa... Dr analijua hilo vizuri ndo maana hizi story znabak kusimuliwa na watu wa pemben tu ila ye yupo kama hayupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…