Baada ya kufika Mtwara nimetembelea Bandarini kuona shughuli mbalimbali zinazoendelea

Baada ya kufika Mtwara nimetembelea Bandarini kuona shughuli mbalimbali zinazoendelea

F I RITTE

Senior Member
Joined
Nov 7, 2024
Posts
127
Reaction score
137
Baada ya kufika Mtwara nimetembelea Bandarini kuona shughuli mbalimbali zinazoendelea, kubwa zaidi ni kwa ajili ya usafirishaji wa Korosho ghafi kuelekea nchi za India, China na Ulaya jionee mwenyewe baadhi ya picha.
20241109_182928.jpg
20241109_181116.jpg
 
Unadhani humu jf tunasikia sauti toka kwenye hiyo picha?
Nenda na wewe ukaungame halafu ulete picha hapa na utuambie umeungama dhambi gani.
Mkuu hujui hata picha huongea? ukitazama tu hapo father kachoka chakali na ameshika kichwa yaani anajiuliza hii dhambi itasameheka vipi :Agakakskagesh:

vingine utani mkuu
 
Back
Top Bottom