Baada ya kufiwa na mpenzi wake, Lulu arudi Instagram kwa kishindo

Baada ya kufiwa na mpenzi wake, Lulu arudi Instagram kwa kishindo

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Siku chache baada ya msanii wa maigizo nchini, Elizabeth Michael, maarufu kama lulu, kufunga account zake zote za mitandao ya kijamii, kwa kile kinachodaiwa kukwepa matusi na kashfa kutoka kwa baadhi ya maadui zake kufuatia kifo cha aliyekuwa mpenzi wake, mfanyabiashara maarufu seky.

Jana kupitia ukurasa wake mpya wa instagram unaofahamika kwa jina la "lizzymichael ", msanii huyo mwenye mvuto wa aina yake alirudi rasmi baada ya kuona maneno yanazidi kwenye mitandao ya kijamii, na kuamua kupambana "LIVE " na baadhi ya maadui zake waliokuwa wakimkashfu kuwa yeye ni kahaba na muuaji. Staa huyo alijibu mapigo kwa kuwatolea maneno ya shombo watu wao na kujinadi kuwa yeye ni mzuri na ndio maana anahongwa magari na nyumba ya kifahari, aliwataka maadui zake wanaosema kuwa anajiuza na wao wajaribu kujiuza waone kama watapewa hayo magari na kupangishiwa nyumba ya kifahari kama yake.

Msanii huyo alienda mbali na kuwaambia maadui zake kuwa kama angekuwa na roho ya UUAJI basi angewaua wao kwanza na sio watu wanaompa raha za mahaba kitandani pamoja na maisha mazuri.

Duh!! Shikamoo Lulu, wameshakuelewa... umetishaa

Screenshot from 2015-04-24 13:28:20.png
 
sure..hana...na hata baadae hatakua nao..saivi kuna akaunti nyingi sana zenye jina lake..naamini ni akaunti ya fan wake kaamua kumjibia
Hana Hujasiri Wa Kuongea Mambo Yote Hayo Kwasasa.Ndani Ya Mda mfupi Kama Huu.
Someone Is Speaking On Her Behalf!
 
Hana Hujasiri Wa Kuongea Mambo Yote Hayo Kwasasa.Ndani Ya Mda mfupi Kama Huu.
Someone Is Speaking On Her Behalf!

Usiwe mbishi ni lulu, mbali na kujua michambo yake, rafiki yake wa karibu muna kathibitisha jana, japokuwa kuna account nyingi za lulu ila ya jana ni yake
 
sure..hana...na hata baadae hatakua nao..saivi kuna akaunti nyingi sana zenye jina lake..naamini ni akaunti ya fan wake kaamua kumjibia

Ni lulu jamani msiwe wabishi, mbona mastaa jana walimpost kumtambulisha, na ndugu yake muna kathibitisha ni lulu mwenyewe, ata anavyochamba ni lulu kabisa michambo yake naijua
 
Ni yeye, japokuwa kuna account fake nyingi ila ya jana ni yake, ndugu yake muna kathibitisha pamoja na baadhi ya mastaa wamempost jana

km ndo yy atakua anatafuta bwana
na nimeamini ukiwa malaya sana wa waume za watu una kosa haya ktk uso wako MUNGU anaiondosha nuru ya aibu..

just few days after tragedy unarudi kwa vishindo...!!e

ni pepo huyu dada aiseee!!
 
nitakuwa wa mwisho kuamini
Ni lulu jamani msiwe wabishi, mbona mastaa jana walimpost kumtambulisha, na ndugu yake muna kathibitisha ni lulu mwenyewe, ata anavyochamba ni lulu kabisa michambo yake naijua
 
Na waendelee kumshangilia na kutoa pole, siku akiwalia waume zao au boyfi ndio watamwita mdogo wetu kwa furaha zaidi.
 
Ni lulu jamani msiwe wabishi, mbona mastaa jana walimpost kumtambulisha, na ndugu yake muna kathibitisha ni lulu mwenyewe, ata anavyochamba ni lulu kabisa michambo yake naijua

Hatukatai Akaunti Ni Yake Kweli.Lakini Kuna Mtu Wake Wa Karibu Anamsaidia Kumjibia.Huyo Ni Mtu Wake Wa Karibu Sana Na Anauzoefu Wa Jinsi Lulu Anavyorespond Na Ndomana Hauoni Tofauti.

Lakini Lulu Kama Lulu Hana uwezo Wa Kuiface Jamii Na Kulopoka Maneno Yote Hayo Kwasasa
 
Back
Top Bottom