warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Siku chache baada ya msanii wa maigizo nchini, Elizabeth Michael, maarufu kama lulu, kufunga account zake zote za mitandao ya kijamii, kwa kile kinachodaiwa kukwepa matusi na kashfa kutoka kwa baadhi ya maadui zake kufuatia kifo cha aliyekuwa mpenzi wake, mfanyabiashara maarufu seky.
Jana kupitia ukurasa wake mpya wa instagram unaofahamika kwa jina la "lizzymichael ", msanii huyo mwenye mvuto wa aina yake alirudi rasmi baada ya kuona maneno yanazidi kwenye mitandao ya kijamii, na kuamua kupambana "LIVE " na baadhi ya maadui zake waliokuwa wakimkashfu kuwa yeye ni kahaba na muuaji. Staa huyo alijibu mapigo kwa kuwatolea maneno ya shombo watu wao na kujinadi kuwa yeye ni mzuri na ndio maana anahongwa magari na nyumba ya kifahari, aliwataka maadui zake wanaosema kuwa anajiuza na wao wajaribu kujiuza waone kama watapewa hayo magari na kupangishiwa nyumba ya kifahari kama yake.
Msanii huyo alienda mbali na kuwaambia maadui zake kuwa kama angekuwa na roho ya UUAJI basi angewaua wao kwanza na sio watu wanaompa raha za mahaba kitandani pamoja na maisha mazuri.