Baada ya kufuatilia Bunge kwa kina, nimejiridhisha kuwa wabunge hawajui majukumu yao kama wawakilishi wa wananchi

Hawajui wapi !!!?? Zaidi ya upofu wa kinafiki unaotokana na ulafi na wenye lengo la kulinda matumbo wakidhani wana nafasi ya milele !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…