NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 999
Kauli za ''kiutu uzima'' ni kama ''hatuna pesa za kampeni'', ''mguu wangu haukunjuki'' ''habaru zangu hazirushwi'',''mshindani wangu anahela sana''.NI MTAZAMO TU,
Haikusaidii maana watu wameshajitambua, Lisu kawapa knowledge how to decipher the knowledge code around them! Kama ndivyo Bashiru anategemea kujibu hoja kwa uharo huu, haya, basi mmekwisha!
Hongera kwa akili ya kwale. Msifuni sana Lisu, Rais wa wapumliwa visogoniLissu mmoja, MaCCM yote na bado hata robo ya akili ya Lissu hamuifikii.
#NIYEYE #LISSURAIS2020
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako shubamit!Hii ndo tafsiri ya CHADEMA kuwekeza katika maendeleo ya watu na sio Vitu:-
1. Kuuza ndege zote zilizonunuliwa na Magufuli.
2. Kusitisha Ujenzi wa Mradi wa SGR
3. Kusitisha Ujenzi wa Mradi wa Umeme wa Rufiji
4. Kuruhusu Uvuvi haramu.
5. Kuruhusu Uchungaji wa Mifugo kwenye hifadhi.
6. Kusitisha Ujenzi wa Madaraja, meli na Vivuko
7. Kusitisha Ujenzi wa Hospital, Zahanati, Shule nk
8. Kutaifisha Mali za CCM Kama Majengo, viwanja na mashamba
9. Kuacha kukusanya kodi.
10. Kuwatoa magerezani Wahalifu wote wa makosa mbalimbali.
11. Kujifunza Kingereza