Mvua Ya Kiangaz
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 308
- 144
Maybe anaamini kua utakutana na mwengine kama ulivo kutana nae. Jaribu kujenga trust.
Mlichumbiana muda gani? Coz I can see ulijiunga may kwaka jana, na October mkafunga ndoa.
Maybe hamjajuana vizuri, mpe muda wa kukujua zaidi.
Congratulation for your wedding.
Wadau Habarini,
Niwatakie heri ya mwaka mpya, imekuwa kitambo kidogo taingia nitangaze nia, nikapata mchumba humu JF ambae tulifunga ndoa tarehe 15.10.2011; ndoa yetu ni ya furaha na kila mmoja anaamini ndo mwisho wake wa reli kama ilivyo, tatizo la mwenzangu tangu tumetoka honeymoon amekuwa hataki nitumie hata dakika moja kutembelea jamvi unless tuwe pamoja, sijajua tatizo ni nini ingawa nahisi tayari katumbo kamevimba:
wadau, nimejaribu kumuuliza tatizo ni nini,wivu au tu ndo mambo ya kike hayo!??
Heri ya mwaka mpya pia MR. R, tumesha poa pande hii, tunasubiri mazishi sasa, I am ready to let go.RR heri ya mwaka Mpya na pole kwa kifo cha member wetu humu
Naona ni uaminifu tuu baina ya wawili hawa
Ajenge uaminifu na sio kuuonyesha tuu bali kw avitendo
Mwenzake amuamini kuwa hatarudi humu kutafuta mwingine bali yumo humu kwa ajili ya kuchangia mada na mambo mbalimbali na ndoa yake anaiheshimu
Ampe pia muda mwenzake amjue vyema na ajijengee uaminifu
napita hapa,.....
imekuwa kitambo kidogo taingia nitangaze nia, nikapata mchumba humu JF ambae tulifunga ndoa tarehe 15.10.2011
nisubiri twende wote!
kama unakatazwa, sasa leo umeingiaje?