Baada ya kufunga ndoa, ananikataza kutembelea JF

kwani kabla ya ndoa yaani wakati wa uchumba alikuwa anakuruhusu au mlikuwa mkiwa wote ndo mna surf?
 
She needs ur attention this time more than ever so.........
 
Hey i suppose you worked hard to earn a household,try hard make it safe especially during these early days.lol congrats and don`t destroy it with your bare hands.
 
uliyataka mwenyewe kutafuta mke jf anajua utatafuta tena lamsingi ingia jf akiwepo.
 
kama hataki mbona ni simpo sana.
Acha kuingia jf hadi awepo.

Wazo la mbolea ! Hata akijifungua kwa oparesheni wakati wife wake amelazwa ward awe anakwenda kuchat /ku'share comments hukohuko hosp.
 
Wana jf,niliwahi kuwa na gf kwa miaka 3 muda wote huu tulikuwa tuna date tu na hatukufanya ngono,lakini aliniacha bila maelezo, wa pili nae sikutaka kumpa moyo wangu wote kwanza lakini wakati najiandaa kuwa immersed in love akanikimbia bila sababu,
sasa nina miaka 30 bado sijawahi ku du hata mara moja,kama fedha za kujikimu nianazo,proffessionaly ni wakili wa kujitegemea,na ka u handsome kapo,sasa sijui tatizo langu ni nini..............naomba ushauri ili nisije pata tena nikakimbiwa...


Wadau Habarini,

Niwatakie heri ya mwaka mpya, imekuwa kitambo kidogo taingia nitangaze nia,


Salaam,

wana JF, miezi kama miwili hivi nilipost MMU tatizo la kukimbiwa na wapenzi kipindi cha kutambuana (dating) ilhali nikiwa sijaonja au kuonjeshwa penzi; baada ya kujipambanua kuwa sijawahi ku-du,
nilimpata mwana JF mwenzangu ambae tumeonjeshana vitu vitamu na sasa tuko bize na mipango ya ndoa, Harusi itakuwa tarehe 08/10/2011;

Nawashukuru wooooote na naomba niwaalike kwa namna ya pekee katika hafla hiyo, Mungu awabariki sana!



Sijui kwanini sikuamini na hizi post zako........................nahisi tu umetunga................sijui kwanini aisee
 
simple jf ndipo ulipompata anaogopa utatfuta mwengine
 
Hongera mkuu, na pongezi kwa JF kukusaidia kupata mke. Mwambie huyo mkeo kuwa kwa sasa, ukiingia jamvini unawasalimia tu rafiki zako walikosaidia kwenye harusi, na kubadilishana mawazo. Mwambie haulitumii tena jamvi kutafuta nyumba ndogo :lol:
 
Hongera sana,, kumpata umpendae ni popote. Ulichoandika hapa atakiona siku moja, hakikisha unafuata ushauri uliopewa.
 







Sijui kwanini sikuamini na hizi post zako........................nahisi tu umetunga................sijui kwanini aisee

Hahahahahahaaaaaaaa! Hapo tu ndio ninapokupendea DA.
 
Haya linda ndoa yako mwaya JF tuachie wenyewe tuselebuke nayo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…