Baada ya kufunga ndoa, Lucy Komba awalipua wabaya wake

Baada ya kufunga ndoa, Lucy Komba awalipua wabaya wake

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Msanii maarufu wa filamu nchini, lucy komba, ambaye ivi karibuni alifunga ndoa na aliyekuwa mchumba wake wa siku nyingi, ambaye ni raia wa denmark. Msanii huyo amewatupia dongo la haja wabaya wake waliokuwa wakimwambia ataishia kuvaa shera kwenye movie tu na hawezi kuolewa kweli. Kupitia ukurasa wake wa instagram lucy alipost hii picha(chini) akiambatanisha na maneno yafuatayo:

"Ni kwale waliokuwa wakisema utaishia kuvaa shera kwenye filamu tu, hizo zilikuwa ni dua la kuku, mboga dagaa tu kuku nyama ya hamu".
 
Attachments

  • 1411054217824.jpg
    1411054217824.jpg
    44.9 KB · Views: 2,332
Huyu nae cheusi dawa anajishau, halafu Dinazarde huyu mzungu hata simuelewagi, alivyo kama hamnazo naonaga tu anavyoendeshwa na lucy, yani kama poyoyo.

Halafu naye huyu lucy toka avae hilo shera anajiona mjanja, wakat hata akina aunty na uwoya walizivaa zikawashinda, asituletee usiku apa, tutajuaje kama walikuwa wanaigiza movie je aende uko
 
Last edited by a moderator:

Hivi warumi uko team gani uko insta? By the way binti hana makuu labda umzulie kuwa mumewe ni KIBABU....Lol.
 
Last edited by a moderator:
Shela lipo wapi alilovaa??hongera kwa kuolewa bidada ila kuhusu shela nawaachia mafashionista.
 
Huyu nae cheusi dawa anajishau, halafu Dinazarde huyu mzungu hata simuelewagi, alivyo kama hamnazo naonaga tu anavyoendeshwa na lucy, yani kama poyoyo.

Halafu naye huyu lucy toka avae hilo shera anajiona mjanja, wakat hata akina aunty na uwoya walizivaa zikawashinda, asituletee usiku apa, tutajuaje kama walikuwa wanaigiza movie je aende uko

Uwoya alivaa shela kutoka wapi kweli Uk au Us
 
Last edited by a moderator:
Warumi uko wapi nasikia diamond anataka kumuoa meninah na vikao vimeshaanza!
 
Nakuambia...kama ni kweli namuonea huruma sana wema japo ana mabaya yake but that's too much

Huwezi jua kama ni kweli labda ni maneno tu,kama ni kweli Team Wema sijui watalia
 
Nakuambia...kama ni kweli namuonea huruma sana wema japo ana mabaya yake but that's too much

Simpendagi wema ila roho ya huruma imeniingia jamani yani domo akifanya hivyo atamuumiza sana dada wa watu
 
Muache afe, laana ya kumkimbia mume inamuandama, ye alivyomkimbia jumbe unafikir mungu kapenda? Mwache dunia imfumdishe

Maskini lolowapi atakufa nae boss wake kutoolewa waombe iwe tetesi tu,maana kina flan hapa tutachekajee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom