Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Ikiwa ni siku moja baada ya ya Mkuu wa wilaya ya lindi Victoria mwanziva kuwataka madereva wanaoendesha magari ya abiria stendi kuu ya lindi wawe watulivu na kuendelea kufanya kazi zao za kusafirisha abiria baada ya kugoma siku nzima ya jana, leo Januari 9 madereva wameanza kusafirisha abiria
Wakizumza na Mashujaa FM Baadhi ya Madereva wamesema wamekubali kuendelea na kazi zao baada ya kufikia makubaliano na serikali juu ya hoja zao za leseni kwa baadhi yao na kusimamisha abiria kwenye magari
Kwa upande wa Abiria na wafanyabiashara wa eneo hilo wameoneshwa kufurahishwa na kurejea kwa Huduma ya kusafirisha abiria kwani hali ya jana ilipelekea shughuli zao nyingi kushindwa kufanyika kutokana na madereva hao kugoma
Soma pia: Madereva wa magari Stendi Kuu Lindi wagoma kutokana na utitiri wa faini barabani na kufungiwa leseni zao
Ikumbukwe jana Mkuu wa Wilaya ya Lindi Victoria Mwanziva ealiwawataka madereva hao kuwa wapole na kumtaka RTO kutoa mapendekezo ya sehemu ambazo watakuwa wanasimama kwa ajili ya ukaguzi wa magari na sio rout moja kufanyiwa ukaguzi zaid ya mara10.
Pia mwanziva amewataka madereva na viongozi kufanya vikao vya mara kwa mara ili kujua changamoto na namna ya kuzitatua na kuwataka jeshi la polisi hususani kikosi cha usalama barabarani ambao wanatuhuma mbalimbali za kuchafua taswira ya jeshi la polisi kwa askari ambaye ameshiriki kwenye tukio ambalo sio sahihi atachukuliwa hatua.