Baada ya kugundua ana mimba isiyo yangu, nipo katika wakati mgumu sana. Nishaurini



Huhitaji shida hiyo, order kit kama hii, fuata maelekezo ya kuchukua sample za mate yako na ya mtoto, halafu tuma kwenye maabara yao kutokana na maelekezo yao. Wao watakutumia majibu.

Inaweza kukugharimu ka laki mbili unusu lakini hiyo ni pesa ndogo sana kuliko kufanywa bwege.
 
Mkuu mimi ishanitokea mbona majuzi tu
 
Kwangu hakuna dhambi mbaya kama usaliti. Yaan afyer all that unamuita mpenz bado?
Naweza nikavumilia viroja na vihoja vyote dunian utakavyonifanyia. Navumilia sana. Lakini usaliti[emoji119][emoji119] yaaan naweza kuwa nakupenda zaidi hata ya Malaika mkuu lakini siku nakua na uhakika umenisaliti... haijalishi nitabeba maumivu kiasi gani. Hiwa naondoka kimya kimya na hytaamini. Sitakuambia lolote wala sijui Mungu anaona. Basi tu. Sitaki ugomvi na mtu nayempenda. Naondoka milele.

Pole sana mkuu. I can feel u kabisa. Amekusaliti na ushahidi juu. Ina maana kumbe hata asingebeba mimba angeendelea kukusaliti mpaka lini? Ina maana mpaka amefanya hivyo ina maana amempenda the other man zaidi. Inauma sana. Kiujumla nimeshindwa kabisa kuelezea mapenzi.
 
We are very good ktk hilo lakini mwisho wa siku hizi dhambi tunaenda kutubu wapi? Aisee ni ukatili mkubwa sana sana sana. Kama una muogopa Mungu huwesi asilan kumfanyia mwanadamu mwenzako ukatili huu. Binadamu yeyote hadtahili ukatili. Tumwogope Mungu jaman. Wengine tungeshashikwa zamani sana
 
Halafu tunajiuliza why miaka hii kuna idadi kubwa ya masingle mothers!
 
Mkuu upo kwenye usingizi wa pono. Amka. Huyo mtoto akikua atamjua baba ake original.
 
Kusamehe na kuishi kama wapenzi ni mambo mawili tofauti. Msamehe ila usitake urudiane naye. Mapenzi ni zawadi na hakuna mwanamke aliyeumbwa special kwa mwanaume fulani. Kuwa na ww ni maamuzi yake na usihisi km umeonewa sana kwenye mapenzi.
Kaka nimechoka, anayenicheka aje anicheke lakini yanaweza yakamkuta hata walio kwenye ndoa kuweni makini na wake zenu
 
hii Kits hapa Bongo inapatikana wapi?
 
Bro,game over,ni ushauri ambao nakupa kwa lugha rahisi kabisa.Take your time,and start afresh somewhere
 
hii Kits hapa Bongo inapatikana wapi?
Sidhani kama zinapatikana bongo. Oda moja kwa moja mtandaoni (mf amazon.com), au unaweza kutafuta makampuni ya bongo yanayoweza kukufanyia order kwenye mitandao hiyo.
 
Pole hivi unaanzaje kuumia kiasi hicho hujamuoa na hamjaanza maisha shukuru Mungu kukuepusha na huyo bokoharamu.
Wanawake ni wengi tulia jipange tumia akili zaidi weka miradi maishani mwako hao wanawake ni wezi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…