Baada ya kugundua ana mimba isiyo yangu, nipo katika wakati mgumu sana. Nishaurini

Mtoto ni wa mama siku zote....huyo ndo ana uhakika na mtoto wake

Mwanaume utabahatika tu iwapo mmefanana na huyo mtoto, hapo umepona[emoji848]
 
Msipende kufanyia watoto wa wenzenu vitu ambavyo msingependa wake za watoto wenu wa kiume wafanyie watoto wenu
Binafsi najitahidi kuwa aina ya mke ambae ningefurahi wanangu wa kiume wapate.
 
Kwa faida ya maisha yako,achana nae mkuu.
 
Mmh never trust kiumbe kinacho itwa Mwanamke,, tuliambiwa tuishi nao kwa akili

Wengi hawajielewi!

Alafu usiendekeze mawazo yke potezea utamsahau tu,, keep busy kutafuta mkwanja..
Yah
 
Vipi mkuu ulimsamehe msaliti bokoharamu? Ukute ulizaa nae mtoto wa pili, maana mapenzi ni upofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…