Baada ya kugundua kuwa niko JF amani imetoweka

Yummy my dear mkemwenza....

mume wetu Asprin oyeeeeee

mwenzangu mwanaume anayepaniki mkeo kuwa jf ana tatizo... ni kutokujiamini tu.... au ndo wale wanaume wababe, au mume anachakachua huko jf?





 
Last edited by a moderator:
kupendwa ndo hukuuuuu

mwaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhh





 
Yummy my dear mkemwenza....

mume wetu Asprin oyeeeeee

mwenzangu mwanaume anayepaniki mkeo kuwa jf ana tatizo... ni kutokujiamini tu.... au ndo wale wanaume wababe, au mume anachakachua huko jf?
Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Makofi tafazali!.......... Leo mje kwa foleni, sawa my waifu zangu?

 
Mama pole sana. Mimi mke wangu, ndugu zangu hawafurahii consetration ninayokuwa nayo JF; lakini nikiwapaga updates wanafurahi kuwa informed.

Mimi reaction ya huyo bwana siishangai, ila inaingilia uhuru wako wa kuwa informed. Kama wengi walivyochangia JF ni tishio kwa CCM kwa sababu hawajiamini au hawana ubavu wa kuhimili hoja. Hili tatizo ni la msingi, ila nakushauri mueleze umuhimu wa kuwa informed ambao ni faida kwa wote na ni haki ya msingi. Pia muulize kishkaji kama kuna mipaka kwenye mahusiano yenu ya kupata au kutoa habari. Na kama haipo mkubaliane iweje, kama ipo na umeikiuka omba msamaha. Kama ipo haikuzuii mkumbushe.

Ila pia naona ni woga wenu akina mama kwa uwezekano wa kutumia vibaya haki zenu hasa za kutoa na kupata habari.
 


hahahahah na bado unaomba ushauri jf...dah
 
mumeo kamaindi kwa sababu anajua humu ndani kuna wale vikongwe wakuchukua mademu za watu so lazima ashtuke..
 
Mume wako ndio huyu nini?


New2JF


Yesterday 14:52

#1
Senior MemberArray


Join Date : 25th October 2011
Posts : 101
Rep Power : 359
Likes Received21
Likes Given8


[h=2]
Unbelievable: Kumbe mke wangu ni JF Premium member!![/h]
Jamani jamani jana nimekuta kitu ch tofauti sana...kumbe mke wangu ni JF member tena ni PREMIUM member!!!! Aliacha laptop kitandani akatoka kwenda kumtuliza mtoto uani, nikataka kuangalia email zangu, ile hamad...webpage ya jamii forums...haa!!! ndio nikaona ID anayotumia humu!!!. Bahati nzuri hajawahi kutoa comment katika posts zangu na wala mimi sijawahi fanya hivyo. Yaani hata sasahivi yuko kazini ila yupo online na namuona na nasoma comment zake hapa!!!

Nimejiapiza sitamuambia kabisa... na pia hata kukiwa na vikao vya JF sitapenda kwenda maana ni mchangiaji mzuri sana wa mada humu!!!

Afadhali nimefahamu hili.​







 


Pole sana kwa yaliyokukuta. Nadhani unajua jinsi magamba wanavyoichukia JF kwa madai kwamba inawadhalilisha na kuwatukana wale wote walio ndani ya magamba. Inabidi tu uwe mpole na kuomba yaishe na kutoa ahadi za kutorudi tena hapa jamvini vinginevyo ndoa yako inaweza kuingia dosari kubwa sana.
 
Kwamba, ni vizuri kuaminiana. Maisha ya MMU ni usanii na fantansy tu. Mkijuana ID inaweza saidia kumjua mwenzako vizuri kama atakuwa huru.

Na kuhusu giLESi; anahitaji a hard talk with his hubby, ikiwezekana ampe ID na password yake kama hamuamini.

Unasemaje....? wengine wanakwenda beyond weye hujui eeh
 
Kuna mawili hapo anaweza akawa amekasirika kwa kuwa wewe ni member wa JF (hapa simuungi mkono) au anaweza kuona umem-ignore kwa kuwa busy na laptop labda yeye alikuwa anajisikia kuwa na wewe ni kama vile umetoka na mtu mpo sehemu mnavinjari alafu mwenzako yupo busy na simu (hapa ndio inabidi tujifunze ku-balance JF and other social issues)
 
Mimi mume wangu si member na wala hajuhi kama mimi ni member. Ila anaijua sana JF kukiwa na issue hot tunaingia wote tunasoma pamoja.

Sipendi ajue kuwa mimi ni member kwa kuwa na enjoy kutokujulikana mimi ni nani...na inawezekana asipende baadhi ya michango yangu ...maana namjua ana wivu.

JF MMU ni moja ya my little secrets. Yaani tukiwa tunasoma story mfano ile ya kuhusu mauaji yalofanywa na mke wa dk upanga najifanya kama mimi sijawahi kuchangia humu JF
 
Mwambie jumanne sa 8 mchana kutakua na kimbembe kati ya magamba(serikali) na wanainji,mwambie mumeo achangie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…