Baada ya kuhangaika kwa miaka 10 katika hospitali mbalimbali bila mafanikio, Hussein Ayubu shuhuda aliyetibiwa na kupona Muhimbili (MNH) anasimulia namna alivyokua na shaka kutokana na maneno ya watu juu ya huduma katika hospitali za umma.
Baada ya huduma bora za kibobezi alizopokea MNH, hussein anabadili mtazamo na kuamua kuwa balozi wa hiari wa kuelimisha umma kuhusu ubora wa huduma zinazotolewa.