figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Huyu ni msanii wa nyimbo za dini David Ushindi ambaye ni muinjilisti. Yeye anasema kazi yake anauza mwenyewe sababu wanaibiwa sana. Yeye asubuhi anaenda kazini kama watu wengine na anauza sana tu.
Ukiangalia picha kuna mahala anarekebisha generator yake mwenyewe na pia akiimba na kucheza. nimepemda hii style yake. anasema cd anauza mwenyewe, ukienda dukani wapoteza muda wako. safi sana. mia
---------------------------------