baada ya kuibiwa sana huyu msanii katoka na hii style

kweli kabisa mkuu unaniuliza kwanini? I mean uko siriaz!!? we unaweza kuvaa ilo dubwasha mkuu,,basi tumetofautiana sana sie wengine wanyamwezi mkuu.


Hahahaaaaa....!!. mbona nzuri tu?. mia
 
kweli kabisa mkuu unaniuliza kwanini? I mean uko siriaz!!? we unaweza kuvaa ilo dubwasha mkuu,,basi tumetofautiana sana sie wengine wanyamwezi mkuu.

Ha! ha! ha! ha!, umenichekesha sana mkuu, eti nini? dubwasha!!!
 
ila kwa mtindo huo atasambazaje kazi zake mpaka mikoani?
 
huu ni wivu wa kijinga.!!!!


Halafu figganigga hana hata habari. Cheki alivyomjibu kiupole hasa hapo nilipoweka rangi. Mia.




it means to keep yourself real and true, to be honest and stick to the way you are, no matter what any one else thinks.
You don't have to like my decision. I'm gonna keep it 100 and do what I feel is right. Even though its ma swagga'. Duh watu mnakereka na mengi. Samahani kwa majibu nlokujibu hapo juu. Ukweli ni kwamba hauwezi kufurahishwa na kila kitu so tuvumiliane. You know what? Njoo pm. Mia
 

kama unakuwa irritated na vitu vidogo kama hivi sijui kama makubwa waweza vumilia!!

maisha ni kuvumiliana, y do you want your way only? as long as hajacross your rights, what is the matter??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…