Stendi!![emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]Kwa kweli hii stendi ni zaidi ya Airport za nchi fulani fulani hapa Afrika mashariki.
CAG aliitaja kuwa inasababisha foleni kwa hiyo waua legacy wanatakiwa wakaivunje.View attachment 1829778
Akili mgandoMnaivunja lini sasa
Lumumba buku 7 wakimtaja Lissu kwenye kila post anayoreply kunakua na ongezeko la elfu 3.. hivyo ukiona Post yeyote au reply yeyote inayomtaja Lissu humu imetolewa na kijana wa UVCCM jua hiyo post kaingiza 7000+3000=10k.Bila kumtaja lissu mambo hayaendi
Magufuli ameshakufa! Ni wakati wako sasa kuhamia kwa Mbowe ili uwe na uhakika wa kupata posho yako ya kujikimu. Ukiendelea na huu msongo wako wa mawazo, tutakupoteza muda si mrefu.Lini mnaenda kuivunja sasa
Ahaaaaa hii kali ya mwakaLumumba buku 7 wakimtaja Lissu kwenye kila post anayoreply kunakua na ongezeko la elfu 3.. hivyo ukiona Post yeyote au reply yeyote inayomtaja Lissu humu imetolewa na kijana wa UVCCM jua hiyo post kaingiza 7000+3000=10k.
Japo mimi siyo mhandisi ila ushauri wangu wangeiga kidogo modernity ya stand ya Dodoma pia kivuko kwenda stand ndogo wangeweka subway.Kwa kweli hii stendi kwa ubora ni zaidi ya Airport za nchi fulani fulani hapa Afrika mashariki. Hata Lisu akifika atashangaa shangaa kama alivyoshangaa barabara ya njia nane ya Ubungo - Kibaha alipopita wakati anafanya kampeni.
CAG aliitaja stendi hii kuwa inasababisha foleni kwa hiyo waua legacy ya Magufuli wanatakiwa wakaivunje, kuendelea kuwepo kwa stendi hii ni aibu kubwa sana kwao na nafsi zitakuwa zinawasuta kila wakifika hapo kuitumia.
Ngoja tuone wanavyovunja ndege ,flyover, Sgr etc.
.View attachment 1829778
Acha kuweweseka chizi wewe.Mnaivunja lini sasa
PunguaniDodoma kuna subway?
Hii stendi ni nzuri ila inatakiwa ikamilike kwanza...ina viporo vingi sana!Kwa kweli hii stendi kwa ubora ni zaidi ya Airport za nchi fulani fulani hapa Afrika mashariki. Hata Lisu akifika atashangaa shangaa kama alivyoshangaa barabara ya njia nane ya Ubungo - Kibaha alipopita wakati anafanya kampeni.
CAG aliitaja stendi hii kuwa inasababisha foleni kwa hiyo waua legacy ya Magufuli wanatakiwa wakaivunje, kuendelea kuwepo kwa stendi hii ni aibu kubwa sana kwao na nafsi zitakuwa zinawasuta kila wakifika hapo kuitumia.
Ngoja tuone wanavyovunja ndege ,flyover, Sgr etc.
.View attachment 1829778