Baada ya kujifungua mapigo ya moyo yapo zaid ya 100

Leo kaamka kichwa kinaumaa anaskia baridii kwenda hospital kaambiwa damu ipo ndgo
Sasa mkazanie kwenye Kumpa dawa za kuongeza Dame (Haematinics), Pia ukiweza Jitahidi kumpa matunda ya kutosha hasa jamii ya Citrus na hasa ukipata Lozena unaweza kutukia kama juice akawa anakunywa
 
Duh hii ni noma

Pole sana mkuu

Hii ni hospitali full wafanye wanachojua,sometimes hivi vitu ni noma sana
 
Mkuu nje ya mad kidogo
Mimba iliyoanza kutungwa Kati ya trh 16-18 January Hadi Leo trh 8 April inakua na week ngapi?
 
Mkuu nje ya mad kidogo
Mimba iliyoanza kutungwa Kati ya trh 16-18 January Hadi Leo trh 8 April inakua na week ngapi?
Imeanza kutungwa Vipi?😅
Unatakiwa Kutaja LNMP (Last Normal Menstrual Peri..)
Yaani siku ya kwanza Ulipoingia Hedhi yako ya Mwisho (Hedhi ya Mke wako)..

Kama wewe ni mwanaume Mwamini Mke wako Hajachepuka bhna 😅
Naomba nipe LNMP..

Au kama ukiweza Subiri Mimba ikue Kidogo nenda kachecK USS (Ultrasound)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…