baada ya kujifungua

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
27,256
Reaction score
16,317
je mwanamke anakaa muda gani hadi kurudi katika hali yake ya kawaida baada ya -kujifungua?
namaanisha 1. anaanza lini kupata hedhi
2.ni muda gani muafaka kukutana na mwanaume
mwanake muda mwingine wanasema ukikutana na mwanaume unambemenda mtoto
kwanini ukukutana na mwanaume umbemende mtoto,kunauhusiano gani kati ya hivyo vitu viwili
na pia kubemenda ni nini haswa
 

dada kwa maswali kama hayo tembelea hii website upate majibu ya kitaalam kutoka kwa wataalam wa afya ya mama na mtoto Wanetu.com :: Elimu kuhusu Ujauzito na Uzazi, Malezi na makuzi ya watoto, Afya ya watoto, Saikoljia, Tabia na Haki za Watoto
 


Most health practitioners discourage women from having sex within the first six weeks after childbirth since the genital organs usually have not healed. Most new mothers claim that sex is the furthest thing from their minds at this stage. Many women who breastfeed find that the physical contact with their baby fulfils them entirely....................

For more details click this links:
http://womenshealth.about.com/cs/pregnancy/a/postpregbook_5.htm

http://www.netdoctor.co.uk/sex_relationships/facts/sexdelivery.htm
 

mkuu majibu mazuri lakini hapo hujazingatia swala la lugha...dada yetu kauliza swali kwa kiswahili safi kabisa alafu wewe unampa link za kingereza....??? hiyo website niliyokutajia Wanetu.com :: Elimu kuhusu Ujauzito na Uzazi, Malezi na makuzi ya watoto, Afya ya watoto, Saikoljia, Tabia na Haki za Watoto ni kiswahili mwanzo mwisho na madaktari wataalam wa hayo maswala.
 
oook nimewasoma ngoja niingie humo ili niweze mlea mulhat wangu inavyopasa
ila hamjanambia kubemenda ndo nini
yaani mtoto anakuwaje akibemendwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…