the happiest man
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 253
- 216
Imefika wakati baada ya kujitathimini na kuona nnatosha kuwa na mwenzi wa maisha nimeamua nije kwa wanajamvi hususani wanawake na niko very serious na hili jambo nimeona nije niliwasilishe kama linawezekana.
Sifa zazangu;
1. Elimu yangu degree ya uhasibu(BCOM IN ACCOUNTING) 2015/2016 ndio niliopata shahada yangu.
2.Najishughulisha na usafirishaji wa mazao mikoani to Dar (mjasiriamali)
3.Ninajitegemea.
4.Ninaishi Dar (Ubungo Msewe)-(nimepanga sina nyumba).
5. Umri wangu ni miaka 28
6. Rangi yangu ni maji ya kunde
7. Dini yangu mkristu
Sifa za mwanamke;
1. Elimu atleast form four( lengo ni rahisi hata kumuendeleza kimasomo. Chuo and n.k
2. Miaka yake 22-28
3. Rangi mweupe au maji ya kunde.
4. Dini au kabila sichagui coz Tanzania hatuna itikadi za kidini au kabila.
5.Kazi-hata usipokuwa na kazi lakini uwe mwenye kujituma.
6. Awe mwenye kijitambua.
NB. Tutapeana muda wa kujuana na kuaminiana opinion ya muda wa kujuana ni juu yako ila isizidi miezi 6.
Njoo pm endapo upo serious coz nasikia wengine huwa mnakuja kujaribu hisia za watu.