Baada ya kukaa karibia miezi 5 sijakanyaga Kanisani. Last Sunday nilienda

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
36,444
Reaction score
110,233
Hi👋👋
Baada ya kukaa karibia miezi 5 sijakanyaga Kanisa. Last Sunday nilienda. Kuacha tabia uliyoizowea ni ngumu sana aisee.

Binafsi kwa kipindi hiko nilikua naona kuna kitu kimepungua mwilini so I swallowed my Ego🥺

Zingatia

 
Karibu Pentecoste
 
dini sikushauri ila ni lazima uwe na mungu wako pia sali sana na tena mema ila mi dini ni upuuz kua na ibada zako binafsi lakini pia ni lazima uwe na maandiko ya ukiroho zitafute elimu za ukiroho achana na dini din hufiki kunakopaswa ufike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…