Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
JF Haivumiliki kwa sasa hasa tunapoelekea katika uchaguzi mkuu. Nami nimeona nisogee karibu jamvini ili niweze kutoa mchango wangu laivu.
Asanteni sana JF kwani mchango wenu katika kuamsha umma na kujenga transparent society ni mkubwa. History will reward you !!!
Asanteni sana JF kwani mchango wenu katika kuamsha umma na kujenga transparent society ni mkubwa. History will reward you !!!