Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Maslahi matters hafu hainaga makomboUna namba ya flora hapo? Nahisi atakuwa mtamu sana maana mwaume kumg'ang'ania hivyo mwananke siyo bure na baada ya kutengana tu tayari kuna mwanaume mwingine ameshaamua kumchukua bila kujali kashindikana kwa mwanaume mwenziye na mtaani kuna wanawake kibao tu wazuri balaa wanaohitaji kuolewa tena wengine hawana watoto na hawajawahi kuolewa japo kuwa hawana bikira na wameshatoa toa vimimba viwili vitatu tu. Trust me bi dada atakuwa siyo wa kawaida, nadhani lile neno sweet kwake linatafsiri halisi.
Eti muimbaji? Emanueli anaimba nini? ni kweli kazoea kulelewa maisha hayaendi, anataka kurudi kwa jimama, eti anachangisha michango, hivi flora anahitaji michango ya harusi? pili kwani flora akiolewa kimyakimya bila mwebwe tena ndoa ya mtumba na bwana wa 7, lazima apige kelele? two very cheap small education people.Una namba ya flora hapo? Nahisi atakuwa mtamu sana maana mwaume kumg'ang'ania hivyo mwananke siyo bure na baada ya kutengana tu tayari kuna mwanaume mwingine ameshaamua kumchukua bila kujali kashindikana kwa mwanaume mwenziye na mtaani kuna wanawake kibao tu wazuri balaa wanaohitaji kuolewa tena wengine hawana watoto na hawajawahi kuolewa japo kuwa hawana bikira na wameshatoa toa vimimba viwili vitatu tu. Trust me bi dada atakuwa siyo wa kawaida, nadhani lile neno sweet kwake linatafsiri halisi.
kivipi?jamaa muuza sura sana acha flora aolewe na mwanaume
Msu ****Hivi Mbasha ni mpare?
Hapo sasa broo wanatuchezea viini macho.Hivi hawa jamaa ndoa yao imeshakuwa ya media.halafu wajiita wameokoka
Wa Singida huko ISANZUMsu ****
Ni msukuma uyo si mjukuu wa Moses kulolaWa Singida huko ISANZU
mjukuu wa kulola ni floraNi msukuma uyo si mjukuu wa Moses kulola
Unamaanisha "Halichachi"?Maslahi matters hafu hainaga makombo