Zanzibar 2020 Baada ya kukosa Urais, Hamad Masauni achukua fomu ya Ubunge Kikwajuni Zanzibar

Zanzibar 2020 Baada ya kukosa Urais, Hamad Masauni achukua fomu ya Ubunge Kikwajuni Zanzibar

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Baada ya kugombea urais na kufanikiwa kuingia Tatu bora, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amechukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la KIKWAJUNI kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
1594905988281.png
1594906023276.png
 
Baada ya kugombea urais na kufanikiwa kuingia Tatu bora, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amechukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la KIKWAJUNI kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
View attachment 1508472View attachment 1508473
Kiongozi una Tamaa sana je Ukikosa na Ubunge inaonyesha utachukuwa Fomu ya Udiwani. Dhambi ya kuwaonea Wapjnzani Mungu anatenda Malipo yote yatafanyika hapa hapa Duniani
 
Hawa mabingwa wa kuhamasisha vijana wajiajiri.
Sijui kwanini wao hawajiajiri, na waachie vijana wajaribu siasa za maendeleo ya nchi??

Muswada wa kwanza uwe kufyeka miposho na kiinua mgongo cha wabunge, tuone kama kutakuwa na watia nia 100+ kwa majimbo 2025..

Everyday is Saturday........................ 😎
 
Back
Top Bottom