Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mimi nilisikia Dr Khalid, Vua Nahodha na Dr Hussein MwinyiMasauni aliingia tatu bora au umechanganya mafaili?
Itakua aliingia kwenye top 3 ya vichaa mkuu.Masauni aliingia tatu bora au umechanganya mafaili?
Salma kikwete yeye anagombea ubunge mchinga huko.Hivi kuna watu hawawezi kuishi nje ya siasa ukishagombea nafasi ya Urais itoshe usije ukaanza kugombea udiwani
Wanazingua.Salma kikwete yeye anagombea ubunge mchinga huko.
Ukizoea kuabudiwa ni tabu sana.
Tamaa na uchu wa madaraka... kwani hawana kazi zingine hawa watu?Baada ya kugombea urais na kufanikiwa kuingia Tatu bora, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amechukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la KIKWAJUNI kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
View attachment 1508472View attachment 1508473
Kiongozi una Tamaa sana je Ukikosa na Ubunge inaonyesha utachukuwa Fomu ya Udiwani. Dhambi ya kuwaonea Wapjnzani Mungu anatenda Malipo yote yatafanyika hapa hapa DunianiBaada ya kugombea urais na kufanikiwa kuingia Tatu bora, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amechukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la KIKWAJUNI kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
View attachment 1508472View attachment 1508473