Baada ya kulambwa ban ya muda mrefu Yeezus nimerudi kwa kasi mpya

Baada ya kulambwa ban ya muda mrefu Yeezus nimerudi kwa kasi mpya

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Wale wapenzi wangu wakae nimewamiss sana


Yeezus nimerudiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii



Nikaribisheni
 
jjes vipi usharudi bongo maana ulinidanganya umeenda nje ya nchi
 
Kasie nishakua mtu mzima.mwenzako nafikiri sasa ni wakati.muafaka wa mimi kuwa na wew
 
Paprika mamaa weww ndio poozo la moyo wangu nakupenda kuliko uhai wangu
 
Joanah mupenzi nimependa ulivyonilisha keki kwa staili ya kinjiwa njiwa siku ya B day yangu niliyoifanya pale freshaz tabata
 
Back
Top Bottom