KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
⚪⚪ Real Madrid C.F. wameanza kuandaa harusi katika uwanja wao wa Bernabeu kama njia mojawapo ya kukusanya fedha ya kulipa mikopo ya mabilioni ya fedha waliyokopa kwa ajili ya kufadhili ukarabati wa uwanja huo.
•Kwa mujibu wa Mundo Deportivo Klabu ya RealMadrid sasa ina deni kubwa zaidi kuliko klabu yoyote nyingine barani Ulaya.
•Uwanja wa Bernabeu sasa una ubora wa hali ya juu, ukiwa na miundombinu ya kisasa kama vile paa linalofunguka na kufungwa, mfumo bora wa sauti na mwanga, pamoja na viti vya kisasa kwa ajili ya mashabiki.