Baada ya kuligundua hili, najitoa rasmi jf

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
Wakuu..
Tangu kujiunga na jamiiforums nilikuwa nikiamini wanachama wa jf ni binadamu wa kawaida. Lakini baada ya muda Fulani nilijitahidi kuwadodosa marafiki zangu na watu wengine, lakini hakuna hata mmoja aliyeonyesha kuwa anaifahamu. Kila MTU niliyemuuliza/kumdodosa alinijibu kuwa haifahamu jf. Hapo ndipo nikaingiwa na roho ya kudadisi ni kwa nini mtandao ambao kila mda umechangamka kwa post lakini watu ninaoishi nao hawaufahamu, ndipo nilipogundua jambo hili la ajabu.

Jambo hili ni kuwa jf ni kwa ajili ya magreat thinkers tu. Jamiiforums ina watu wenye ubongo mkubwa na unaofanya kazi kama compyta za CIA. Kiufupi jf ni ya watu wasiowaza mambo ya kijinga jinga. Kwa hiyo watu wale wote niliowauliza si ma great thinkers ndiyo maana hawaufahamu.
Ikabidi ni mimi nijifanyie utafiti kama nastahili kuwa great thinker. Na nikaja na majibu kuwa mimi sisistahili kuwa hata kijakazi kwa great thinker. Ni great thinker gani anajiita mende msafi?, great thinker gani yangu ajiunge jf hajawahi kupata PM?. Ni great thinker gani anashindwa kutoa Uzi kwenye maana kiasi cha kuvuta watu 100 kukoment?
Nimekaa na kutafakari na nimeona kuwa sistahili kuwa hapa.
Kwa herini ma great thinkers.
Narudi fecebook...


Wenu,

Smallest thinker
 
Jamiiforum ni kama nguo huwezi kukaa uchi ukiwa na akili timamu ila unaweza kubadilisha nguo.Karibu kwa nguo mpya I mean ID mpya mkuu.

Kuhusu Great thinkers kuwemo humu ni maneno tu hata kwenye kanga yapo.Kuna mandez wengi sana JF nowadays
 
Ulivyowasifiaaa wamejiona miambaaa wakituma vyeti ndo utajua kuna ma minutte thinkers[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Usihofu Mende msafi,Uchina mende wanatengenezea maziwa ya watoto wachanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…