Khah,kumbe the bold ametoka humu?dah,jamaa ndiye alinishawishi nijiunge humu kwa zle thread zake za hatariNenda tu... Hakuna kitu kiliniuma kama The Bold kuondoka humu (ban)
Si ndio yule alitaja na ID zake kadhaa anazotumia humu kila jukwaa?
Kuna sehemu nimeandika nina tatizo nae?Ndiyo huyo huyo!
Una matatizo naye yoyote ???
Kuna siku Malcom Lumumba aliaga hapa JF, lakini hadi leo nakutana naye kwenye posts.
Hahaha ila naetekea kutengua uamuzi wangumende msafi hii safari naona tupo pamoja