Baada ya kumaliza Operation, Sioni Vizuri!

Baada ya kumaliza Operation, Sioni Vizuri!

pharao

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
397
Reaction score
690
download.jpg

Habari wapendwa, nilikuwa na tatizo la Apendex, na Mungu mkubwa nimefanyiwa operation hii wiki iliyopita,

Ila Baada ya kuchomwa ile sindano ya usingizi, Anesthesia baada ya kuamka nikawa naona maluelue hadi leo bado sioni vitu clear! hasa Computer naomba kujua hili tatizo linaweza kutoka kwa kufanya nini.
 
Una umri gani?? Maana kwa wazee ni mojawapo ya shida za anaesthesia
Ushauri rudi hospitali uliyofanyiwa operation waeleze hali uliyonayo naamini watakueleza vizuri kabisa
 
Una umri gani?? Maana kwa wazee ni mojawapo ya shida za anaesthesia
Ushauri rudi hospitali uliyofanyiwa operation waeleze hali uliyonayo naamini watakueleza vizuri kabisa
Miaka 27
 
Back
Top Bottom