Bumpkin Billionare
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 1,332
- 621
Furaha ikizidi machozi hutoka. Utamuu huo. Hata watu wakiwa washindi wa tuzo fulani..hutokwa na machozi.
mh CUTE zote hizo,au shem ndo anazo hizo?hizo c ni zaidi ya rulayote yanawezekana au ana cm17 nini
cm 17 duuu hii si ndogo tuu!yote yanawezekana au ana cm17 nini
mh CUTE zote hizo,au shem ndo anazo hizo?hizo c ni zaidi ya rula
Anamsikitikia jamaa anavyoondoka na madudu ya yale ugonjwa wa siku hizi.
mkuu rula ni 30cm bwana watu mliokimbia hesabu bwana!
Huyo demu ana jamaa yake mwingine ambaye anampenda lkn anamsaliti kwa kulalwa na huyo mshikaji wako. Kila anapomaliza kumegwa anamkumbuka jamaa yake na kukumbuka magumu yote waliyopitia pamoja then anaanza kulia.
dawa yake ni kumtia makofi ili alie kwa sababu chanya
Amyner,hakuna lolote wala ckubaliani na hayo,yule n mgonjwa so wakapime tu,yeye pamoja n hicho kibovu chake!