Baada ya kumaliza tu mapenzi ameanza kuliaaaaaa!


hahahahahaha talkin from experience
 
anashindwa kuomba hela baada ya game, so anajaribu kumsomesha jamaa kwa njia ya ishara but it seems jamaa haelewi... mwambie kila akimmega awe anampa hela, sio amchamfua bure

khaaa hahahaha umenichekesha sana tena saana,hivi huwa unakunywa soda gani vile?
 
...aiiseee... hii ni mpya.!
 
kuna rafiki yangu anatafuta ushauri kwa nini mpenziwe wakimaliza kufanya mapenzi anaanza kulia saana halafu akiulizwa amekuwa hasemi nini kinamliza!!
, huyo ni mwizi. Hata maji ya kunywa usimpe
 
labda jamaa hamfikishi,analia kwa hasira ya kuachwa njiani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…