Wewe popoma kweli kweliModerator niwekee sawa hiyo heading hapi kwenye "kumakiza" weka kumaliza.
Ila ndoo ya VPL tunaibeba kwa mara ya 29Hata akiwa mzuri kwa mipira iliyolala mtapigwa tu na myama na international game ndo hamtakawia kabisaa!
Sent using Jamii Forums mobile app