Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Never trust a women! Ukute kazibuliwa lingumi kmua kumsemea jamaa uongo..hawa watu ukitaka kupiga piga ad alazwe kama uwez achana nae sio kumpapasa kama hyu kaja kulia lia kinafiki humu akati ajaguswa.
 
Emmyta na Karucee...nawakubalini sana.Mko positive sana...Big up.
 
Nyie mnapofunga ndoa mnasema tutaishi sote kwa shida na raha mfute hizi kauli.
unapozungumzia shida au raha unamaanisha nini? yaani uache majukumu yako useme una shida? mwanaume unapoacha kujishughulisha na huku una nguvu wewe ni mzigo kwa jamii.fine mkeo atakuvumilia .je watoto? au wazazi wako na ndugu kama wapo. usijiangalie mwenyewe mkuu.shida zipo mkuu kama ugonjwa ,ulemavu ,kifungo etc ila kama una nguvu pambana .
 
Tatizo hapo utakuta mwanamke alitaka kuishi maisha ya juu ilhali mwanaume uwezo wake ni wakawaida.

Ili kuonesha ataweza akaamua kumwambia mwanaume nitasimamia show zote!
Bado alikuwa amejitunisha lakini hakufanya kwa dhamira ya dhati.
 
Mwanamke wa aina hiyo sio mzuri kwenye ustawi wa ndoa.
Kusaidiana ni jambo la msingi katika ndoa maana ndio kusudi la Mungu kuwa mwanamke kuwa msaidizi wa mwanaume.
Mwanamke sio mfanyakazi wala sio mtumwa katika ndoa bali ni msaidizi kwa mumewe.
Jukumu la kutunza na kutimiza mahitaji ya familia ni la mwanaume labda pawe na makubaliano kati ya mume na mke kulingana na kipato baina yao.
Siamini kama kuna mwanaume anaweza kulala usingizi kama huduma zote za familia zinatolewa na mkewe labda kama anamatatizo ya kiakili.
Kama utarelax kwenye hilo basi tegemea lolote hata kuvunjiwa heshima kwenye jamii kama ilivyotokea kwa bwana huyo.
 
aisee .kweli hakuna wajibu? wewe ni ninsia gani mkuu? umeoa?
Najua we ni mwanamke kama umeolewa nadhani utakua na uvumilivu kisa uchumi ujakutwa na uchumi kuyumba nadhani ungekua mwalimu mzuri we ni wakishua na mumeo wa kishua usiombe kufirisika mama omba ubaki ivo ivo nadhani umri wake mdgo we utakua under 25 na bwana ako under 30 unaitaji mafunzo kwa vitendo alafu ndo uje na swala la wajibu nadhani we umetoka kwenye slay Queen ndo mana bado jipe mda
 
Mwanamke inabidi uwe wa kwanza kujua Hali ya Kipato cha mumeo na uweze kuish kulingana na wakati Unajua Kabisa Hali ya mume wako ni tete Unakubali Kuish Vipi kwenye nyumba ya gharama kubwa, na Kama basi unauwezo WA kulipa basi usilalamike .

Hili ni tatizo la wanawake wengi hasa Kizazi cha Sasa,mwanaume uwezo wake kupanga chumba na varanda, yeye atataka nyumba nzima, akidai atalipa mambo yakimuwia magumu anaaza kulalama. Acha ya mkute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…