Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Naona wanawake live imemgeukia, sasa ni Joyce live...

Kila mmoja ana changamoto zake, anafikiri kila mtu akianza kulia kwenye mitandao patatosha???

Mwanaume unamtengeneza mwenyewe sasa kama alikuwa kamzoesha kuishi bure apambane na khali yake tuu!!!
 
hivi unapangishaje ghorofa la millioni kadhaa? bora nipange chumba kimoja nijenge hata mbagala huko.wadada wa mjini wana mashow off sana .kumbe wanateketea kwa ndani
 
Kunaitajika amendment kidogo kwenye mume/mke kwenye shida na raha napendekeza iwe kwenye raha tu shida kila mtu ana wazazi au mlezi ake aende na akaendelee na maisha yake mpk raha kwa pamoja irudi ndipo ndoa irudi
Hilo nalo neno mkuu
 
anaokoa jahali lisizame kwenye ndoa za wanaume wavivu.sio mtu wa sport sport anadhamini hata nyanya na vitunguu mboga inapatikana
Na usipoangalia Unaweza ukanwacha mumeo ukaolewa na muuza genge
 
mkuu sipo unavofikiria sijaolewa wala sina hata boyfriend ila nachojua kila mtu kwenye ndoa ana wajibu wake
 
mimi sishangai sana Joyce kupigwa..

nashangaa sana kamanda mkubwa wa chadema... kukosekana kwenye payroll ya chadema.. je kina nani wapo kwenye payroll kama kamanda mkubwa kama mume wa joyce hayupo...

Joyce alisherehekea Talaka na Dj nelly ambaye ndie aliemtoa kwenye u house girl....

so sishangai hata akimtukana mumewe mpya... na alivyo na bahati akiachika tu anaolewa tena.. huku kuna wanawake walifunga na kusali na ndoa hawajaipata maishani mwao yote
 
Hayo maelezo ya Joyce yana ukweli kiasi gani ndani yake? Yamethibitishwa na nani hadi tuyaamini? Mie sina- ga mambo moooooob! No, nakuskilizia tu ukitoka zako job nakupanga hadi mwenyewe unafurahi- sasa vua chuppi nikuoneshe kazi ujifunze adabu yako. Unakung'utwa ub.oo hadi unatoka mbio na dela hadi kwa mama kuomba niitwe uje kuomba msamaha mamaeeee. Mwanamke unakuwa na mdomo domo hauna breki, utaufyata tu hapa
 
alkua wap skuzote kusema yeye ndo bosi wa familia?
kodi yenyewe ukute kalipa mwaka huu tuu!!!
na isingekua kichapo asingesema ata!!

kujifanya mwanaharakati na kudanganyana huko kwenye galla sjui nn...... et mwanamke ana say dhidi ya mwanaume
mtavunja viuno kwa kujitakia hii ni africa sio ulaya

ila joy ni ziro WALVO gombanaga first time nltamani waachane kabisa
kwel kosea kujenga.... utabomoa kosea kuoa sasa ☺!!
 
joyce ana mashauzi balaa. hivi kweli alijirecord kabisa arushe mtandaoni ili iweje?
 
Kwani una uhakika huyo Kilewo hapambani? Inawezekana anapambana anaishia kuapata laki 3 kwa mwezi mzima ambayo kimsingi haitoshi kulipa kodi ya nyumba na matumizi mengine. Hiyo nayo ni shida. Ulitaka apambane vipi? Auze dawa za kulevya? Au kwako wewe hiyo sio shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…