Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Nitashangaa sn huyo mumewe akirudi kwenye hiyo nyumba baada ya hii video...elimu ni kitu kizuri sn jamani joyce angekuwa amefika hata form 4 asingweza kufanya haya
Ataenda wapi?
 
Huyu kileo si ndo huwa anatambaga Sana instagram na vipost vyake uchwara kuiponda. Serikali.Kumbe analishwa na kuvishwa na mwanamke halafu anajiita kamanda..ahhaha shubamiit
 
Kuna mambo mnalaumu wanawake bure tu, nyie ndio mnawatengeneza kuwa hivyo. Ukisharuhusu moja ruhusu tu na la pili.

Kama aliambiwa wakaishi ukonga Mombasa yeye anataka Mbezi na atasimamia show huyo mwanaume afanyeje? Tatizo mnaangalia sana mwenzako anaishi wapi? Na anaendesha gari gani? Mwisho wa Siku unaungua kwa ndani mkp unakuwa mkaa.Alichokosea K angekuwa na komandi tuu twende kuishi kule anakotoka mwanaume fuul stop.
 
Hilo sio la kuuliza, mwambie uwezo wangu ni wa tandale na tunakwenda kuishi tandale fullstop.
 
Ogopa sana Wanawake wenye Majina ya akina Joyce ..uwezowao wa kufikiri ni zeroooo hata awe connected na akina nani.. na walio wengi Mahusiano yao yamewashinda na wengi wanaishi kwa huruma ya wapita njiaaaaaaaaa
Mkuu unamaanisha hadi mwalimu wangu Joyce ndalichako naye yumo inkuludedi?

out of the topic: huyu kiria sijui namwonaje ni vibaya mwaume kumkinai mtu ila huyu dada aseeh..
 
Nilibahatika kuhudhuria harusi yake mwaka 2011 pala Atrams Africasana. ilinifunza vitu nikasema haya ndio mambo ya kuiga na kujufunza.sasa yamekuwa hayoooo tenaa
 
Mkuu unamaanisha hadi mwalimu wangu Joyce ndalichako naye yumo inkuludedi?

out of the topic: huyu kiria sijui namwonaje ni vibaya mwaume kumkinai mtu ila huyu dada aseeh..
Kwani ana nini? Hebu elezea.
 
Teh teh teeeeh!!
Hujakutana na msomi pasua kichwa eeeh!!
We omba tu umpate mke bora baasi.
Ambao hawajasoma kabisaa ni hatari sasa, waliosoma kidogo kama Kiria ndo hao pasua kichwa, acha nifuate waliosoma nifanye na bidii ya maombi labda Mungu atasikia kilio changu
 
Huyu ndoa ya kwanza ilimshinda kati yake na DJ Fulani clouds miaka ya nyuma kabla ya kukimbilia kwa kilewo na mbwembwe nyingi
 
Mkuu unamaanisha hadi mwalimu wangu Joyce ndalichako naye yumo inkuludedi?

out of the topic: huyu kiria sijui namwonaje ni vibaya mwaume kumkinai mtu ila huyu dada aseeh..
Mfuatilie utamjua nje ya Kuwa Waziri na Elimu yake...
 
ujamaa ni chanzo cha umasikini...
 
Huyu akili zake ndogo sana
Hata mleta uzi nae wale wale
 
Ambao hawajasoma kabisaa ni hatari sasa, waliosoma kidogo kama Kiria ndo hao pasua kichwa, acha nifuate waliosoma nifanye na bidii ya maombi labda Mungu atasikia kilio changu
Amen, kila la kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…