Yaani Uwanja wa Ndege wa Makao Makuu ya nchi Taa haziwaki (kumejitokeza changamoto ya Umeme) halafu bado unamuona Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa akimsifia Boss wake mpaka kutaka Kukufuru kwa Fedha anazozitoa kwa Vilabu viwili Vikongwe na vyenye Upuuzi mwingi nchini Tanzania.
Ngoja niendelee tu kuukana kwa muda Utanzania wangu ili nami nisijumuishwe katika Kudharaulika na Mataifa Jirani na ya Duniani yenye Watu wenye Akili Kubwa.