chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
kKKT ni kama Ina udikteta, imejaa viongozi wenye roho mbaya sana, makatili, washirikina, wamejaa wivu, husda.
Askofu Mwaikali aliondolewa kwa njia ya kuhudhunisha sana, taratibu zote za kanisa zilivunjwa kwa makusudi kwa lengo moja tu, kumkandamiza, kumuonea, kumdhalilisha Kuna askofu alisafiri toka Kilimanjaro kwa kazi hizo.
Hakuna nyota inayoruhusiwa kuonekana zaidi ya hao watu wawili.
Mchungaji Kimaro aliwatia roho juu, maofisini hawakai kwa amani, mitandaoni ni Kimaro, na baadhi waliamini ndio kiongozi mkuu wa KKKT Tanzania.
Kwa kweli, ukiacha wale wachungaji wanaofanya umachinga wa chumvi na maji, Kimaro alisimamia neno la Mungi, na alieleweka.
Hiyo ilimjengea maadui miongoni mwa wakuu wa kanisa, wakaandaa mitego ya kummaliza. Makanisani akihubiri askofu watu wanasinzia, akija Kimaro, roho wa Mungu anjaa na kufurika ndani ya mioyo na roho za watu.
Wivu ukawaka ndani ya nyoyo za wakuu wa kanisa, wakaapa kumfanyia fitina!
Wakati wao walipanga kuuza hotel ya kanisa huko Nyanda za juu kusini, Mwaikali akawazuia, wakamuandalia fujo kubwa sana mpaka wakamlaza rumande na kumfukuza uaskofu kwa kuchukua hata wapiga debe wa stendi na kuwafanya wajumbe wa mkutano mkuu wa kanisa wa kumfukuza Mwaikali.
Kama alivyosema Kimaro, kwamba kina madalali, maaskofu wawili walikopa na kuweka dhamana hoteli ya kanisa, na mabilioni waliyokopa hayajulikani yalipo. Wakaanda mnunuzi akanunue hoteli ya kanisa, mikataba mkononi, pamoja na ten pasenti, Mwaikali akasemaaa Noooooo! Hakiuzwi kitu hapa. Aliandamwa kila Kona, watu wakahongwa,.....
Sasa wamenogewa, Kila anayeibuka, wanataka kumfyeka