Baada ya kumsikiliza mfanyabiashara akimuelimisha RC Chalamila pale Simu 2000 Jana nakiri Tanzania bado ina vijana wanaojitambua!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nafanya utaratibu wa kuweka clip hapa uone huyo machinga anavyotiririka kwa takwimu huku DC Bomboko akiwa na hofu kuu na RC Chalamila akikubali kila hoja ya machinga huyo

Kama Wamachinga walishiriki kutengeneza mchoro wa Soko na kuweka Vigezo vya Kiuchumi vitakavyofanya Soko kuwa Endelevu basi machinga hawa hawana tofauti sana na Gen Z

Ngoja nitafute clip 😀

Pia soma
 
Safi sana
 
Watu smart wapo sana ,nimekutana na watu kibao tena huwadhanii lakini wako vizuri katika mambo yanayoendelea Duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…