Vyombo vya dola havimpuuzi, viliandikiwa barua na Amsterdam advocates.Nashauri vyombo vya dola viendelee kumpuuza kabisa, kuchukua hatua dhidi yake nikimpa kick, siku hazigandi kwani tarehe 28/10/2020 ni keshokutwa tu hapo.
Umemaliza, ana hasira mbaya sana itakayomgharimu zaidi ya kile alichopata vilevile ana umimi so hafai kuwa kiongozi.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kwenye Yeye kuwa na 'Hasira' nakubaliana nawe japo hata bado hajafikia 25% ya 'Hasira' zangu, ila Yeye kuwa 'Mmimi' nakukatalia na umekosea.
TidMnateseka sana... NI YEYE !!!
Kwa sasa Tanzania inachokosa kuliko vyote ni uhuru wa mawazo. Na mawazo ndiyo huleta ubunifu.Tundu Lissu anaweza akawa na Hoja, ila 'Kisaikolojia' anaonekana 99.9% ya atakayokuwa akiongea katika 'Kampeni' ni Shambulizi lake si Masuala.
Mwenye umimi mbaya kabisa ni yule anayeweza kuamua kumwua binadamu mwingine kwa sababu tu kampinga. Aheri mwenye umimi wa maneno maana atajibiwa kuliko mwenye umimi wa kuamua kuwaondoa wote wasiotaka kuukubali umimi wake.Umemaliza, ana hasira mbaya sana itakayomgharimu zaidi ya kile alichopata vilevile ana umimi so hafai kuwa kiongozi.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Sema baadhi ya wanaCCM, hasa wale wenye upeo mdogo, siyo Watanzania wote.Kitu muhimu ni kwamba watanzania washampuuza Lissu kitambo sana.
HahaaaaUnaogopa safari za Lissu nje ya nchi wakati nyie na genge lenu la mafia ndio mlisababisha apelekwe huko nje kwa matibabu, kama hamkutaka aende nje msingemjeruhi kwa risasi.
Hebu tulia, usichagulie watu wanaojitambua mgombea wao, nyie tayari mna Magufuli wenu mliyempitisha kwa fomu moja kama sultani.
Mwisho unamalizia kwa kusema Lissu hana hoja wakati kila akishika "mic" vyombo vya habari vinakatisha matangazo ghafla, au vinapunguza sauti makusudi nondo zake zisiwafikie huko lumumba.
Ushabiki na masifu vyote vinawaondolea uwezo wa kufikiri. Uzi aliotunga ni kiwango cha mtoto wa chekechea.1. historia ndo mwalimu mzuri Lissu alianza kupambania madini kabla ya magu
2. angekuwa dhaifu hasingejaribiwa kuuwawa
3. kama una kumbukumbu nzuri maboresho ya sheria mama makinda alilitaja jina la lisu kuliko mwanasheria kipind kile bungeni
5. vuguvugu la mageuzi kwa nchi za uarabuni kumbukumbu unaongea wazi yalianzia Tunisia Kama siyo moroko kwa yule kijana muhitimu chuo kujichoma Moto kwa petroli baada ya kuvunjiwa kibanda chake Cha matunda.
6. huhisi act wanawahitaji zaidi chadema?haswa kwa upande wa bara?
so calm down chief wananchi ndo mwamuzi na siyo chama Kama kweli Kuna alilofanya hawezi kuwa na hofu na ulinzi kibao huku wakitangaza hii nchi ya amani,ifike kipind nyeupe tuseme nyeupe,pathetic
Hahahaa, Hawa ni watu wasiojulikana wanahangaika kweli na lissu.hawalali.kwa hakika lisu ni kidume wa taifa.kitendo Cha lissu kuingia ulingoni imekuwa balaa.Umesikika Naibu W. Ulifanikiwa kupenya kwenye kura za maoni kule Songwe?
Hata sijakuelewa1. historia ndo mwalimu mzuri Lissu alianza kupambania madini kabla ya magu
2. angekuwa dhaifu hasingejaribiwa kuuwawa
3. kama una kumbukumbu nzuri maboresho ya sheria mama makinda alilitaja jina la lisu kuliko mwanasheria kipind kile bungeni
5. vuguvugu la mageuzi kwa nchi za uarabuni kumbukumbu unaongea wazi yalianzia Tunisia Kama siyo moroko kwa yule kijana muhitimu chuo kujichoma Moto kwa petroli baada ya kuvunjiwa kibanda chake Cha matunda.
6. huhisi act wanawahitaji zaidi chadema?haswa kwa upande wa bara?
so calm down chief wananchi ndo mwamuzi na siyo chama Kama kweli Kuna alilofanya hawezi kuwa na hofu na ulinzi kibao huku wakitangaza hii nchi ya amani,ifike kipind nyeupe tuseme nyeupe,pathetic
Wa hiyo wewe ni mjinga mkuuTayari ishawekwa sasa