Uchaguzi 2020 Baada ya kumsikiliza Tundu Lissu akiwa kwenye mkutano wa ACT-Wazalendo, nimejiridhisha ni mgombea dhaifu zaidi awamu hii

Tundu Lissu anaweza akawa na Hoja, ila 'Kisaikolojia' anaonekana 99.9% ya atakayokuwa akiongea katika 'Kampeni' ni Shambulizi lake si Masuala.

Ww tangu amekuja umeisha msikia akiongelea shambulio laje?
 
Umemaliza, ana hasira mbaya sana itakayomgharimu zaidi ya kile alichopata vilevile ana umimi so hafai kuwa kiongozi.

ana umimi na hasira kuliko MAGUFULI???tumpe Nafasi nayeye akizingua tutamtoaga!
Siipendi CCM

#niyeye
 
Huyu hawezi kuwa rais wa Tanzania ,na kama anapanga kuingia barabarani ataingia yeye na mkewe,haina haja ya kuhangaika na mgonjwa wa akili,hana lolote

Nani ampe urais ilikhali chama chake hakina uhakika wa kupata japo wabunge watano? Hivi si ni vituko vya mwaka


Lissu ni mtu mbaya sana na hatari sana kwa mstakabari wa taifa letu,na anapaswa kuchukiwa na kulaaniwa na kila mtanzania mpenda amani


Demokrasia anayoitaka akaidao huko ughaibuni,nani kamdanganya kuwa demokrasia vinakaa pamoja na maendeleo,demokrasia kwa chadema ni kutukana matusi,kuandama na kula mali za umma na pia kukumbatia wala rushwa.
 
Pia mwenye umimi ni yule anaewajibu walipa kodi wake kuwa waende kuomba maendekeo kwa mbuge wao kisa tu si wa chama chake.
 
Angekuwa ni dhaifu wala kulikuwa hakuna haja ya wewe kumsikiliza....na kuja hapa mbio ku post maneno mingi...empty!!
 
Tunataka Mdahalo wa Wagombea: John Joseph Pombe Magufuli (CCM), Tundu ANTIPAS LISU (Chadema) na Bernard Member (ACTWazalendo). Hii ni kwa sababu CCM miaka yote inatuuzia mbuzi kwenye gunia. Hatukubali safari hii. Wagombea waeleze sera zao mubashara wakiwa pamoja, Kisha waandishi na wananchi wawaulize maswali.

Naamini aliyenunua ndege na kuwanyima wafanyakazi mishahara, kuwanyima vijana ajira, kiwadhulumu wafanyabiashara kwa kuwanyang'anya fedha zao, aliyewahifadhi wasiojulikana wanaoteka, kuua na kupiga wengine risasi za kivita hadharani, anayenyang'anya wakulima korosho kwa kutumia dola, anayewachomea wavuvi nyavu na kuwatia umasikini, n. k atashinda mdahalo!!!
 
Hata sijakuelewa
Magufuli for another 5 years anatosha.
hata baba yako huwezi kumwelewa kwann alikuwa maskini kulinganisha majirani Ila ukiitwa baba alafu mtoto amefika miaka ya kwnd shule af majirani zako wanapeleka English medium ww unapeleka serekalini huku viongozi wanaosifia kiswahili wakawa wamepeka watoto wao feza au tanganyika international school utakuwa umeelewa
 
Idadi na hari ya watu kupiga kura imeongezeka baada ya ujio wa Lisu ambapo wengi walikata tamaa wakisema atupigi kura.
Ni heri kushirikiana na mabeberu tukapata maendeleo kuliko kushirikiana na wazalendo feki watusomeshao namba
 
Inatuumuza sana wana CCM kuona CHADEMA haikufi vile tulikuwa tunataka, na badala yake tawi letu CUF ndo inakukufa na ACT inazidi kukua
 
Eti kuna watu bado wanajipa moyo Lissu atashinda labda akitaka kushinda mi nimshauri asubiri 2025 ajaribu bahati yake.

Kwasababu kwa mambo aliyoyafanya Magufuli ni ngumu kweli kumshawishi mtu ampigie kura Lissu.

#Iam Zagarino
 
Magundu mwoga na hajiamini. Yote aliyoyafanya hayajamstawisha mtu wa chini.

Vijijini tunataka maji, sio ndege.
Magundu hajaajiri walimu. Shule hazina walimu Wala madawati.

Elimu bure watoto wanaenda shule kuota jua.

Amewatisha wamiliki wa vyombo vya habari wasijiunge na matangazo ya BBC na DW. Huo ni uwoga wa hali ya juu.

Ajenge jela na kambi za mateso kwa wingi, aje atubebe
 
Eti kuna watu bado wanajipa moyo Lissu atashinda labda akitaka kushinda mi nimshauri asubiri 2025 ajaribu bahati yake.....

Kwasababu kwa mambo aliyoyafanya Magufuli ni ngumu kweli kumshawishi mtu ampigie kura Lissu

#Iam Zagarino

Magundu mwoga na hajiamini. Yote aliyoyafanya hayajamstawisha mtu wa chini.

Vijijini tunataka maji, sio ndege.

Magundu hajaajiri walimu. Shule hazina walimu Wala madawati.

Elimu bure watoto wanaenda shule kuota jua.

Amewatisha wamiliki wa vyombo vya habari wasijiunge na matangazo ya BBC na DW. Huo ni uwoga wa hali ya juu.

Ajenge jela na kambi za mateso kwa wingi, aje atubebe.
 
Eti kuna watu bado wanajipa moyo Lissu atashinda labda akitaka kushinda mi nimshauri asubiri 2025 ajaribu bahati yake.....

Kwasababu kwa mambo aliyoyafanya Magufuli ni ngumu kweli kumshawishi mtu ampigie kura Lissu

#Iam Zagarino
Mnajificha kwenye kivuli cha "Amefanya mengi" ila tutawanyoosha maana hamjajua bado mlipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…