Uchaguzi 2020 Baada ya kumsikiliza Tundu Lissu akiwa kwenye mkutano wa ACT-Wazalendo, nimejiridhisha ni mgombea dhaifu zaidi awamu hii

Eti kuna watu bado wanajipa moyo Lissu atashinda labda akitaka kushinda mi nimshauri asubiri 2025 ajaribu bahati yake.

Kwasababu kwa mambo aliyoyafanya Magufuli ni ngumu kweli kumshawishi mtu ampigie kura Lissu

#Iam Zagarino
Mkuu, ni "label" tu ambayo imebadilika kutoka kwa muonekano wa mkoloni "mweupe" na kuwa mtu "mweusi". Chochote kile ambacho kinafanywa na serikali ni kupitia kodi na maduhuri yenye kulipwa na wananchi.
 
Eti kuna watu bado wanajipa moyo Lissu atashinda labda akitaka kushinda mi nimshauri asubiri 2025 ajaribu bahati yake.

Kwasababu kwa mambo aliyoyafanya Magufuli ni ngumu kweli kumshawishi mtu ampigie kura Lissu.

#Iam Zagarino
Ni kweli Mambo aliyoyafanya ni makubwa mno kumpiga mtu risasi 16 sio kazi ndogo.
 
😳
 
Ni yeye. Mtu dhaifu hawezi kushambuliwa na marisasi mengi vile. Waambie ni yeye.
 
Propaganda duni sana
 
Mkuu bado unahangaika kuelewesha nyumbu🤔? Nhiiiiiiiiii... (Magufuli's laughter)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…