Baada ya kumtega mhadhiri wa UDOM kwa rushwa ya ngono, sasa tuwatega madaktari hospitalini kwa dhambi hiyo hiyo

Baada ya kumtega mhadhiri wa UDOM kwa rushwa ya ngono, sasa tuwatega madaktari hospitalini kwa dhambi hiyo hiyo

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Nasikitika hadi Kushangaa kuona Watanzania tukijikita zaidi katika Kupambana na Rushwa ya Ngono kwa Wahadhiri wa Chuo dhidi ya Wanafunzi wa Kike Vyuoni huku tukilisahau eneo lingine Muhimu.

Sasa leo nawataarifu kama kuna Sekta ambayo kwa miaka ya hivi karibuni kama Miaka Kumi inaongoza kwa Watendaji wake Kupenda Rushwa ya Ngono ni ya Tiba / Udaktari ambapo Madaktari wengi wa Kiume wanaongoza Kuwalala Mabinti na Wanawake wenye Changamoto za Kiafya na hawana Pesa huko Mahospitalini.

Vitengo ambavyo Vinaongoza kwa Madaktari kupenda Rushwa ya Ngono kwa Wagonjwa wa Kike au Wanawake ni vya Meno, Ganzi na Uzazi ambapo kwa wale Mabinti waliopata Ujauzito na hawana Pesa za Kulipia ili Kuitoa hulazimika Kutoa Uroda / Rushwa ya Ngono ili wapate Unafuu wa Kutolewa.

Pia kuna Wanawake tena hasa Wake za Watu ambao hubeba Mimba za Mahawara zao hivyo hulazimika kwenda kwa Madaktari Kuzitoa na katika hali ya Kuficha Siri au hata na Wao kutokuwa na Pesa za Kutosha hulazimika Kujirahisi kwa Madaktari wa Kiume ili walale nao na wapate Unafuu wa Kusaidiwa.

Tatizo hili la Rushwa ya Ngono lilipuuzwa na Kufumbiwa macho na Wadau ila sasa limeshaota Mizizi na kama kuna sehemu inayoongoza kwa Rushwa ya Ngono sasa nchini ni Mahospitalini na huko Vyuoni naona mnawaonea tu fanyeni upesi Uchunguzi wenu juu ya hili na najua mtakubaliana nami.

Tena kwa wale Mabinti au Wanawake ambao hutakiwa na Madaktari wakiwa Mahospitalini hulazimika Kupigwa Sindano za Ganzi kama sehemu ya Kuanza kwa Tiba zao ambapo wakishaanza Kusinzia tu kwa Dawa kuwaingia vyema Madaktari nao hufungua Zipu zao na Kuwaingizia Mibolo yao na wakimaliza huendelea Kuwatibu ambapo wakimaliza na Mgonjwa Kuamka Usingizini hukijuta Manii zimetawala katika Sehemu zao za Siri ambapo wengi wao huona Aibu Kuhoji na huamua Kuuchuna na Kuondoka.

Hospitali za Serikali na Binasfi hawachekani kwa hii Dhambi mbaya na ambayo pia inaenda Kinyume na Maadili ya Udaktari kwa Kulala na Mgonjwa lakini pia si Kitendo cha Kiungwana kwa Binadamu na kujitafutia tu Laana zisizo za lazima kwa Mwenyezi Mungu.

Tegeni Mitego mtawaibua wengi mno!!
 
Kwa JF Great Thinker hili ni la Kulishadadia na kuliunga mkono? Kuna Watu hapa ni Wapumbavu wa Kiwango cha Kimataifa.
Muovu huliwa na muovu mwenzake, unategemea mtoa mimba akutane na usaidizi wa malaika? Daktari harusiwi kuua hapa daktari mzinzi anakutana na mwanamke mzinzi na muuaji ambae anamletea daktari ushawishi wa kuua je pepo wa uzinzi wa daktari atafaidi nini? Simple logic. Waovu square hawashushi malaika mahali wakutanapo.
 
Na wanaliwa kinoma noma, ila daah hata wake zetu wakienda clinic za mimba na ultra sound wanaliwa kimasihara pia.
Kwahiyo unashangilia na Kushadadia Dada zako, Mama zako na Shangazi zako Kutiwa huko na Madaktari au? Kama JF Intellectual hili tulitakiwa tulikemee kwa pamoja na kwa Nguvu zote au tulifurahia, tulifanyie Utani na tulihalalishe kuwa ni Jambo la Kawaida na la lazima Kufanywa / Kufanyika?
 
Muovu huliwa na muovu mwenzake, unategemea mtoa mimba akutane na usaidizi wa malaika? Daktari harusiwi kuua hapa daktari mzinzi anakutana na mwanamke mzinzi na muuaji ambae anamletea daktari ushawishi wa kuua je pepo wa uzinzi wa daktari atafaidi nini? Simple logic. Waovu square hawashushi malaika mahali wakutanapo.
Empty Set...!!
 
Kama unajua hivyo unampeleka mwenyewe uzuri mke akikuelewa akataka uwepo wakati wa tiba hamna shida
Wakati kile kimstari kimechomoza wale mende wanawala sana wake zetu, wanasifia hivi ndio mimba yako ya kwanza?jibu hapana!hapo mtekenyo na mchombezo lazima uzae matunda.
 
Kama unajua hivyo unampeleka mwenyewe uzuri mke akikuelewa akataka uwepo wakati wa tiba hamna shida

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Kwa Comment kama hii yenye Upumbavu mwingi tena ya Mtu anayejiita Msomi Tanzania kwanini Wazungu kila Uchao tu wasitudharau Waafrika mpaka kutufanisha na Minyani / Nyani?
 
Kwahiyo unashangilia na Kushadadia Dada zako, Mama zako na Shangazi zako Kutiwa huko na Madaktari au? Kama JF Intellectual hili tulitakiwa tulikemee kwa pamoja na kwa Nguvu zote au tulifurahia, tulifanyie Utani na tulihalalishe kuwa ni Jambo la Kawaida na la lazima Kufanywa / Kufanyika?
Tukemee ufuska, uzinzi navuasherati, mimba za hovyo na utoaji. Msiojua mtapata taabu sana mshaona wake za watu wanaotoa mimba 5 hadi 7 kwa mwaka kila kuliwa hovyo hovyo, na wengine wanasagwa na wasagaji wao wanacontrol juu yao kila mimba ikizama ya mume sharti lazima itolewe.

Ombeni mungu muyasikie, muyaone au mwambiwe. Hii dunia acha kabisa. Kuna wanawake ni mbwa mbwa mbwa hawastahili kibinadamu Ila Mungu tu ndio wao basi.
 
Kwa Comment kama hii yenye Upumbavu mwingi tena ya Mtu anayejiita Msomi Tanzania kwanini Wazungu kila Uchao tu wasitudharau Waafrika mpaka kutufanisha na Minyani / Nyani?
Mkuu mbona ametoa ushauri mzuri? Kwa nini unakuwa negative kwa kila comment?

Jamaa kashauri waume waende na wake zao hospitali pindi wanapoumwa, halafu ww unamuita mpumbavu?
 
Back
Top Bottom