Baada ya kumtema Penny...Diamond na Wema watangaza Ndoa

Amekamata fursa akaenda zake. Watu wanaangalia maisha utabaki hivyo hivyo anatoka na kibabu anatoka na kibabu,yake yanamuendea,

acha umbulula we mmasai siku utapoibiwa na kibabu ndo utalijua jiji na vitongoji vyake
 
Mapunda yatasaidiana mzigo wa bwana ufike salama....Umoja ni nguvu!
Halafu haya huwa hayakamatwi yana zali mwe!
 
Mhh hawa nao tushachoka kuwasikiaa
 


Hatakama kusoma hujasoma, basi hata picha pia huioni kua Hawa watu wapo in LOVE!!. Tuwasaidieni waishi maisha yao ya furaha, na sio kuwachanganya kisaikolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…