Salaaaaam...Juzi nilipata kuhudhuria msiba wa ndugu yangu katika Kijiji flani mkoani mbeya na nilishangaa kuona balozi kwa unyenyekevu akitangaza kuwa kaletewa taarifa kutoka juu zikidai rais atakuepo apa mbeya tar 30september kwaiyo wananchi wa pale kijijini wajitokeze kwa wingi viwanja vya airport ya zamani kumlaki mtukufu rais aiseh nilishangaa sana maaana ni Kijiji ambacho kipo mbali mno na eneo la tukio...huko kwenu vipi wadau uwa mnatangaziwa au unaamua wewe uende au usiende!?
Viilevile chama kinatoa posho za kuhudhuria mkutano buku tanotano , utaratibu wa kawaida chamani.msijali, chama kitakodi malori kuwapeleka na kuwarudisha, ni utaratibu wa kawaida chamani.
Tumewakataaaa🤣 Alafu hasubuhi yote hii ata breakfast hujapata unapaniki ivo utakufa😆😆Acha ushamba, kwa taarifa yako maeneo mengi taarifa mbalimbali ziwe za maendeleo au nyingine zozote hutolewa kwenye mikusanyiko ya watu, sasa hapo alisimama balozi tena ni wa CCM angesimama afisa mtendaji si ungefunga kibwebwe uzunguke dunia nzima kusema CCM inatumia viongozi wa Serikali kufanya siasa.
Acha ushamba.
Wewe na nani? Usitumie lugha za jumla...Tumewakataaaa[emoji1787] Alafu hasubuhi yote hii ata breakfast hujapata unapaniki ivo utakufa[emoji38][emoji38]
Pole sana subiri majibu tarehe 29 30Huoni mgombea udiwani na ubunge wa CCM wanaokuzunguka walivokataliwa na wananzengo!![emoji38]
Salaaaaam...Juzi nilipata kuhudhuria msiba wa ndugu yangu katika Kijiji flani mkoani mbeya na nilishangaa kuona balozi kwa unyenyekevu akitangaza kuwa kaletewa taarifa kutoka juu zikidai rais atakuepo apa mbeya tar 30september kwaiyo wananchi wa pale kijijini wajitokeze kwa wingi viwanja vya airport ya zamani kumlaki mtukufu rais aiseh nilishangaa sana maaana ni Kijiji ambacho kipo mbali mno na eneo la tukio...huko kwenu vipi wadau uwa mnatangaziwa au unaamua wewe uende au usiende!?
Watakuwepo kina Diamond na wengineoKuna Ubwabwa tuje??
Hivi kuna chama kipi kinaongoza kwa mabango barabarani kama sio CCM, halafu kama kweli anakubalika why atumie nguvu yote hiyo kutaka kujaza watu mikutanoni.Bila matangazo taarifa watu wangezipataje? Kwenda ua kutokwenda naamini ni hiari ya mtu.