Elections 2010 Baada ya kumwagwa meya Londa ajiita Shaaban Juma adai mnamtakia nini?

Elections 2010 Baada ya kumwagwa meya Londa ajiita Shaaban Juma adai mnamtakia nini?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kweli uchaguzi wa CCM una mambo
Baada ya wana kinondoni kutema upupu wa meya wao na huku sehemu aliokimbilia
kugombea ubunge akimwagwa kama ana akili nzuri;aliekuwa meya wa jiji letu S LONDA ametoa ya mwaka leo pale alipopigiwa na waandishi wa hbari kwa namba tatu tofauti na kujdai yeye ni shabani juma huyo londa mnatakia nini..huku watu wakisikika wakicheka meya huyu alidiriki kusema mnaempigia ni shabani juma..hii namba mmepata wapi..badala ya kukata akaanza kuendelea na maswali manatokea wapi mnataka nini kabla ya mwandishi kupiga tena kinondoni kupata uhalali wa namba na kupewa namba ile ile hapo ndipo kichekesho kikaendele..akapigiwa na namba nyingine tena maskini tripu hii alikuwa mpole na kusema nyie vijana mnashida gani vyeo vyenu si nimewaachia mnanitakia nini

mmoja wa waliopiga akamuuliza mzee kuna zile kesi za viwanja inakuwaje akakata simu

kweli waswahili waanasema kuwa muyaone na kweli 2010 tumeyaona nahisi yapo mengi yanakuja

haya kila la kheri mkuu londa ukamalizane na kesi zako;;umeshindwa huku mungu atokutupa mahakamani

SRCE
TAIFA LETU KESHO
 
Londa anatakiwa afungwe kwa uhalifu alioufanya wilaya ya Kinondoni ambapo ameuza viwanja vya wazi huko Mbezi beach hadi barabara watu wamezifunga na kujenga kwa amri yake!! Mungu atamlaani.
 
Nchi hii kweli aibu hakuna! Kama Londa ambae ameifanya manispaa ya Kinondoni kama chaka la wezi na wahuni anadiriki kwenda tena kuomba ridhaa ya wananchi, siyaamini macho na masikio yangu!!! Hata kama WaTz wengi ni mbumbumbu linapokuja suala la haki za raia, this is more than a joke! This is a daylight armed robbery, Londa hana maana yule hata kama kajaa fedha za wizi!

By the way, aligombea jimbo gani mhuni huyu?
 
Back
Top Bottom