Baada ya kunywa bia kichwa kinauma balaa!

Baada ya kunywa bia kichwa kinauma balaa!

dan yah

Senior Member
Joined
Apr 14, 2017
Posts
103
Reaction score
62
Habari wadau,

Nimekunywa balimi juzi hadi Leo kichwa kinauma balaa kinagonga acha kabisa.

What wrong?
 
Hukutoa Lock... Wenzio wakiamka wanapiga zingine mbili pale Akili inakaa sawa( Am serious)
 
Ukiendelea tena kuna siku utajikuta gheto umening'inizwa kichwa chini miguu juu,Umekataa mikoba ya uganga halafu unakunywa pombe!Subiri uone nguvu za mababu zako
 
Wee sio mzoefu...Unywe maji ya kutosha next time...beers zina tabia ya ku dehydrate maji mwilini...By the way all ulikunywa bia gani?
 
Balimi gonga kichwa sana, usizifakamie kisa bei rahisi.
Ukizidisha bia sita hakikisha unakunywa maji lita moja kabla ya kulala.
 
Mimi hapa bichwa linauma balaa ila nalipoza na safari maana hakuna namna tena upande mmoja yaan...
 
acha kunywa bia za bei rahisi mkuu,utakufaa

wengine hata tukipiga 20 bottles inakua poa tu
 
Back
Top Bottom